Sponsor

RAMADHANI KAREEM

3:23:00 AM

Tunawaombea kheri nyingi na Ramadhaan njema itakayokuwa Maqbuul na dhambi za kughufuriwa Inshaa-Allaah. Katika mwezi huu wa Ramadhani mashughuli bloqpsot kwa kushirikiana na mtandao wa AL Hidaaya itakuwa inatoa maiwaidha ya dini yatakayohusiana na mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani na nini unachotakiwa kufanya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani pamoja na kufunga Swaumu.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.