Sponsor

NIMEMKUMBUKA MAMA KOKU - REST IN PEACE....

5:20:00 AM

Hapa tukiwa New Africa hotel kwenye reception ya Malale Makwaia...20...??? kumbukumbu sina nisaidieni wadau mnaokumbuka, mama Siah Kisanji unakumbuka mwaka??

You Might Also Like

4 comments

 1. duh yani hellen umenikumbusha mbali sana,r.i.p mama koku,mwaka sikumbuki mpenzi ila ninachokumbuka ni mimi na kimata tulivozuka gafla ukumbini sijui unakumbuka vizuri mumy?

  ReplyDelete
 2. ah! ah! nilikuwa nimsahau dear, daah! umenikumbusha Kimata kweli kabisa, Dunia tunapita mamy!!!, picha yetu sijaiona kabisa sijui wapi nimeikweka anyway itaonekana tu Siah

  ReplyDelete
 3. bwana embu tafuta nyingine uweke yani umenikumbusha mbali sanaaa hellen.kumnbukumbu ya mama ni mwezi wa kumi na moja mumy nitakutumia picha

  ReplyDelete
 4. Jamani Siah Pole sana ndio maisha ndugu yangu, sio unitumia picha unajua siku hizi nina CAMERA ya uhakika watu mjini wenyewe wanaita Comercial Camera tunakwenda Moro, nilisikitika sana siku zile sikuweza kuja kumsindikiza mama kwani nakumbuka ubatizo wa kina suzy alinipokea vinzuri sana, na mimba yangu ya Tona, Jamani tumetoka mbali my dear tukumbuke mambo manzuri yote tusikumbuka mabaya hayana nafasi katika maisha yetu sasa poa wang ngoja nipekue nitakayopata

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.