Sponsor

ENZI HIZO.....!!!!

12:24:00 AM

Left:Egla Uisso. Hellen & Siah Kisanji na mtoto Suzy!!
Aisha,Sophia, Hellen & Salma Wage...!!!
Nikiwaambia watu nilikuwa mwembamba wasionijua wanakata kata mpaka ugomvi, basi kusoma hujui hata picha uelewi???? Left: Suzy Magai, Sophia Kihago & hellen, picha hii ina miaka 15 hivi

You Might Also Like

13 comments

 1. dada nashukuru kwa kunionyesha huyo bi sia naomba uwawekeee wadau alivo sasa hv ili tuone watu wanavotoka mbali,natamani nikukondeshe uwe kama hiyo picha uliovaa nyekundu,u look so pretty!

  ReplyDelete
 2. dada nashukuru kwa kunionyesha huyo bi sia naomba uwawekeee wadau alivo sasa hv ili tuone watu wanavotoka mbali,natamani nikukondeshe uwe kama hiyo picha uliovaa nyekundu,u look so pretty!

  ReplyDelete
 3. dada nashukuru kwa kunionyesha huyo bi sia naomba uwawekeee wadau alivo sasa hv ili tuone watu wanavotoka mbali,natamani nikukondeshe uwe kama hiyo picha uliovaa nyekundu,u look so pretty!

  ReplyDelete
 4. dada nashukuru kwa kunionyesha huyo bi sia naomba uwawekeee wadau alivo sasa hv ili tuone watu wanavotoka mbali,natamani nikukondeshe uwe kama hiyo picha uliovaa nyekundu,u look so pretty!

  ReplyDelete
 5. hellen yani umenikumbusha mbali sana jamani hiyo picha,nimecheka sana yani ila kweli siku zimeenda siamini kama susan ndiyo huyu ambae saizi anajiita miss,mh mama egala ndani ya nyumba,na mpiga picha wetu namkumbuka alafu kama sikosei ndio ulikuaga umetoka london ee.du safi sana,ila shoga kama kuna jinsi ya kujikondesha ukarudi kama hiyo pic ya gauni jekundu fanya hivyo,yani ulikuwa miss haswaaa.kwenye misa nitakujulisha wangu.

  ReplyDelete
 6. hellen yani umenikumbusha mbali sana jamani hiyo picha,nimecheka sana yani ila kweli siku zimeenda siamini kama susan ndiyo huyu ambae saizi anajiita miss,mh mama egala ndani ya nyumba,na mpiga picha wetu namkumbuka alafu kama sikosei ndio ulikuaga umetoka london ee.du safi sana,ila shoga kama kuna jinsi ya kujikondesha ukarudi kama hiyo pic ya gauni jekundu fanya hivyo,yani ulikuwa miss haswaaa.kwenye misa nitakujulisha wangu.

  ReplyDelete
 7. tonna nae eti saivi ni mbinti mkubwa mh kweli tumeshazeeka helen lakini hamna kukubali tutabanana hapahapa.hazeeki mtu.

  ReplyDelete
 8. tonna nae eti saivi ni mbinti mkubwa mh kweli tumeshazeeka helen lakini hamna kukubali tutabanana hapahapa.hazeeki mtu.

  ReplyDelete
 9. am sorry my dia, hivi wewe ndo hellen rafiki yako ni sophia mlikua mkikaa upanga pale na mlikua mna saloon?? kama ni wewe, ni kweli ulikua kimodo my dia, nakukumbuka sanaa

  ReplyDelete
 10. am sorry my dia, hivi wewe ndo hellen rafiki yako ni sophia mlikua mkikaa upanga pale na mlikua mna saloon?? kama ni wewe, ni kweli ulikua kimodo my dia, nakukumbuka sanaa

  ReplyDelete
 11. wadau nitajitahidi kupungua japo ni ngumu saaaaaaaaaaana na haiwezekani kurudia kama vile, kwani umri umesogea jamani.... asante kwa cooments zenu nzuri, huwa nafurahi sana nikiona comments

  ReplyDelete
 12. helen weka basi ile picha ya nguo one sholder nicheke mie.

  ReplyDelete
 13. Mwenzangu naitafuta ile picha siioni kabisa sijui nimeweka wapi my dear lakini nikiiona tu, utacheka sana

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.