Rahma Ibrahim Mtengeti
Sporah Lady - of Ben TV London, SPORAH show inaonekana katika STAR TV hapa Tanzania, tutwasiliana na Sporah atueleze itarushwa lini kwenye STAR tv ili nasisi tuone..!!
Aunty Rahma akiwa na Mahojiano na Sporah kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhaan
Sporah, Tititi na da Rahma, akiwa jikoni kwa ajili ya kuona mapishi ya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhaan yanapikwaje..??
Sporah, Rahma na Farida Simba Mtengeti wakiwa jikoni, hii ndio NAZI bibie...!! somo nakupata kwa SAAAANA!
Wageni mbali mbali
Mdau Tititi akishughulika
No comments:
Post a Comment