Sponsor

Wadau wala NONDOZZ Ukerewe

10:50:00 PM

Urban Pulse Inapenda kuwapongeza Wabongo wote waliokula Nondoz hapa Ukerewe. Hii ni mifano bora ya kuigwa na wote katika kuleta maendeleo.

Nondoz Oye!
Aunt Zuhura Mkwawa amefuzu Masters in Mathematics
Aunt Zuhura na Family
Aunt Zuhura na family na marafiki
Daisy migiro amefuzu Masters ya Advanced Distributed Systems
with Distinction
Daisy Na Family
Hoooooooooooray!!!!!!!
Lydiah amfuzu masters in Public Health
kutoka chuo kikuu cha Oxford
Lydiah na Frank Eyembe
Morgus Amefuzu shahada ya Biashara Kutoka
chuo kikuu cha John Moorse Liverpool
Morgus Na Family

Picha Asante Mdau Baraka - Urban Pulse

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.