LUNCH PARTY - KAUNDIME HEMEDI KAYUGWA NA MR. RAJAB SALUM ABUUSHEIKH

VENUE : DAIMOND VIP HALL
COLOUR: GREEN & HOT PINK
MC: ANGELA BONDO

Hii ndio card ya mualiko....lol


 Fruit Cake, kila meza ilipata
kipande cha cake, ilukuwa tamu sana
 
MC - Angela Bondo hafananishwi na MC yoyote yule!!
Maimuna Abayu Abebe - Mama Mzazi
Kaundime na Rajab
maarusi sikuweza kupata picha yao nzuri kwa sbb ya kuchelewa
Wapambe wao

WATU WALIPENDEZA SANA, ANGALIA PICHA HIZI
ZA WATU WA MJINI WENYE MAJINA YAO ...lol
Shufaa kihango na Rehema Mbwana
...looking lovely sisters!!

Fatmah Simba & Joha Simba
ndugu wapendenao!!!

Mrs. Julie Mkullo- Smilling face!
Ashura Kawawa always looking fabulous!
Kina dada wa jiji hili la Lukuvi wenye majina yao..lol
Left:Fatmah Simba.Ashura Kawawa, Rehema Mbwana & Shufaa Kihango
Hidaya Kazirahabi & Joha Simba...Always namkumbuka...lol
Friends: Sharifa Hashimu na Salama, umecheki hinna ya da sherry!
Pacha... unabisha??
Mariam pendeza wewe!!
Mama Ngandu, jamani huyu ni
dada yangu kabisa tunamiuta MKUU...lol
Tahiya na shoga yake, ambaye alimtunza $ kwenye
harusi ya wifi, na mie nataka tunzwa EURO...lol

Mariam Loth Abraham
MD-Pentagon Shopping Centre
Miriam Aziz kaka kawaida yake
kupendeza kwa kwenda mbele
Mtu na mwanae...lol
Rehema Mbwana na Salha Mbwana
Ashura na mashosti wake ndani ya pozi...lol
Nduguuus
Mama Simba
Black is beauty
Mwajey na Zaitun
Chris-R & J Company mkooo juuuu!!
Bi harusi na kamati iliyofanikisha shughuli
hii chini ya Mwenyekiti ROSE RUPIA
My Pretty Gal Salha Mbwana
Da Sherry na Shosti wake wa kufa na kuzikana
Da Joha Big Sister na Angela
Mama Salma Mtambo hakuna kama wewe!!!
very simple lady
Mmmemuona Aunty Afsa?? wa kwanza kushoto
Somo mnzuri sana huyo..... wanaotaka masomo kama yeye
 tuma email mashughuli na no yako ya simu
Jana nilikutana na mama zangu
wa arusha akiwa na mwanaye!!
Bi harusi na bw. harusi walijichanganya
na watu wote kwa raha zote
Watu wakicheza mziki
Wifi langu la nguvu Aisha Mtengeti
pendeza wewe!!!
Jamani majina yenu camera
Hawa ni MC wa nguvu ambao wako nyuma ya Angela,
ukiwataka tumia blog email address tutakupa no zao
Tahiya

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. AAWW. MASHALLAH NAONA SHEREHE ILIPENDEZA SANA. TUNAOMBA PICHA ZAIDI KWANI NAMI NILIALIKWA LAKINI NILIKUWA NA UDHURU.

  ReplyDelete
 2. The event was super! Hongera sana aunty Mai 4 kumfanyia Kay kitu kizuri namna hii! Strength of a woman!!!!!

  ReplyDelete
 3. amaa kweli shughuli ni watu na watu tumewaona!!!

  ReplyDelete
 4. Shughuli ilienda shule kwa kwenda mbele watu wotee pendeza kwa kila aina!!!!!!Hongera Maymuna Abebe wetu shuguli ni watu

  ReplyDelete
 5. Mmependeza wadada na akina Baba, Pongezi kubwa natoa kwa akina Dada - Shughuli kweli ya waenda shule, NO MIKOROGO - Big Up.

  ReplyDelete