Cont. LUNCHEON PARTY - KAUNDIME HEMEDI KAYUGWA NA MR. RAJAB SALUM ABUUSHEIKH

Wadau wangu wameomba nirushe picha zote na mimi sina pingamizi twende sasa....!
 Bendi hii hapa ndio iliyokuwa ikileta raha bab kubwa
GRUMETI MAMBA's BAND
Cell:0713 441588  
Yaani watu walipendeza hapo wafanyakazi wenzake
bw. harusi wakilirudi sebene

Nilikutana Steven mfanyakazi mwenzangu

Mashostito  Ashura Kawawa na Shufaa Allen Kihango
Pozi!! nimekubali

 Mariam Loth Abraham-MD Pentagon Shopping Centre
Mjasriamali wa kweli!! naona hina hiyoo!!
 Hidaya Mchowele akirusha roho
 Umeniona?
 Weeeee chungulia!
 Aisha Mtengeti au mama Khalima!!
 Maarusi wetu wakifungua mziki

 Pozzzzzzzzzzzzzzzi ah! ah! da sherry we!!
 Warembo
 May na Robart mzee wa vedeo shooting na still picture
 Mimi huyo na Aunty Hidaya, she is very smart lady!!
 Mbona raha!!, ama kweli maimuna tumekubali hii ilikuwa kiboko!
Hongera mama mzazi

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment