Cont. BAG Party ya Ahmed

Wageni Waalikwa, Ndugu na Jamaa


Salama nilipenda sana hiyo purse yako iko kwenye wakati

Big Sister Joha jana alitoka kama under 18, kuanzia juu, ukija kichwani Brazzillian hair!!

Mwajey  jana alipendeza sana, kupendeza kwa kwenda mbele

Mwanaidi Black & White really nice
Alhanisa Sleyum Zayum, uko  juuuuuuuuuu!!!, Halua Angela frm Angola??
Hennna, hennna jamani
Mwanaidi na Salama looking Mwaaaah!!

Left: Julie Choggy Sly,  na  Kasinde Rogershee Muzungu
na kati ni SALAMA au Mama JAS, Watu wa Mujini... lol unalo la kusema???

Mama mashughuli anapatikana wakati wowote 
kwa rusha picha mtandaoni piga simu tu

NASAHA KWA KIJANA WETU BABU!

Haj Sunday Manara kaka wa Ahmed naye alitoa wasaha wake, 
kwani yeye katika ndoa amedumu kwa miaka 9 bwana,  hongera sana bwana haj blog hii inakuombea dua ukae na mkeo mpaka mfanane sura..lol

Maulid Muswalisha naye alitoa nasaha zake kwa bwana Ahmed


SEREBUKA MAMA SEREBUKA


Haj na Bijoha YORI YORI,
No one can love you the way I do!!!
Segere hilo
Big sis Bijoha nimekubali hapa anacheza jiving
Da Rehema raha tupu jana
Da Joe sambamba na wanawe!!
Udugu hazina yetu muhimu!!! tokea enzi.......lol

ZAWADI 

Wakwe wakienda kutunza wakiongozwa na "Alhanisa Sleyum Zayum "kama hujasoma madrassa ya Abbasiya sie watu wa mjini hutoweza kutamka hilo jina...lol

FASHIONISTA
Kupendeza sio lazima uwe miss, muone hapa SALAMA  looking fabulous
Bijoha i really like the way you dress especially belt na hizo accessory
 Flowers
 Pretty Gal!!
Mama Tona naye amepende.... mmh!! semeni nyie!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. Halua Shamte aka mama Nyanketa USAJune 7, 2010 at 6:46 PM

  Haahahaha namuona Angela from Angola paleeeee

  ReplyDelete
 2. Hahahahaaaaaa....wee mama Tonna wee ni mtundu sana jamani, ila mwenzangu shughuli unaziweza na nakuaminia sana!!! Hapo ndo mahali pako..weraweraaaaa...

  Mama George

  ReplyDelete
 3. aaaah shost umetoka..ngoja nimtumie hii blog Doroth akucheki..

  Ma' G

  ReplyDelete