Mdogo wa Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu, Rachel Temu kuna tetesi kuwa ametekwa na watu wasiojulikana, habari tulizipata mlimbwende huyo alitekwa siku ya ijumaa iliyopita na ndg zake kutumiwa ujumbe kwa kutumia simu ya Rachel kutaarifiwa kutekwa kwa ndugu yao.
"Tumeshamteka ndugu yenu, tumemaliza kazi"!!!!
Je habari hii ina ukweli wadau wenye habari kamili tuhabarisheni
sasa hata tukifahamiswa tutafanya nini? Wawafahamishe polisi ndo muhimu .
ReplyDelete