MORE PICTURES ON MUNI'S BIRTHDAY

Uncle EDDY
Fadya
Mum

Rizghar
Abdularahim
Rashad nasikia huyu ndio rafiki mkubwa wa Muni
Bibi Ma' Nuru akilishwa Cake
Bibi Bahiya
Fadhil
Uncle Dulla

ZAWADI KWA MUNI BABY


Rizghar na Abdulrahim wakimpa zawadi Muni
Ma Nuru na Mjukuu wa ke wakimpa zawadi Muni Baby
Salama na wanawe walimpa zawadi MuniFadhil pia alimletea zawadi muni, lakini saa ya kutoa zawadi
akawa keshaondoka, inaonekana mama ni mkali
MAFASHIONIST

Muni
Jasmeen
Tamra
Rizghar
KIDUKU


Muone Da Joha anaibia style ili aanze hapa hapa
Haya sasa bibi nashagwe za birthday
Leo toa zote bibi
PICHA MCHANGANYIKO

WALIOCHELEWAAL-Hanisa Sleyum Zayum ah! ah! sijui kama nimepatia

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

 1. Muni namimi nitambulishe kwa Rashad nami awe rafiki yangu mkubwa hahahahaha

  ReplyDelete
 2. Halua Njemba....Mrs ShamteMay 5, 2010 at 12:09 PM

  hahhahhahah Da Hellen Umenifurahisha kuweka all these pics nimefurahi kuona dada zangu na wanangu wote plus my shangazi mama Simba sema katika wote nimefurahi kuona pic ya AL- ANISA SLEYUM aka ANGELA FROM ANGOLA hilo tunalijua wenye mji tu la Angela hahhahahhahaha nice one keep up the good work Dada angu liking wat i see on ur blogs thanx for kutuweka karibu na ndugu zetu tulio mbali nao...n wish mjukuu wangu Muni Happy belated Bday..

  ReplyDelete
 3. jamani raha sana mkiingia kwenye blog na kutoa coomment na mimi pia nafarijika mama shamte naona kile ninachofanya na nyie pia mnakiona this is good one, nitampa salam zako angela nimecheka sana! vipi mwanao hajambo??? katakuwa kamekuwa sana

  ReplyDelete