KIUNO CHA MZEE YUSUPH NYAKANYAKABosi wa kundi la Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuph aka Mfalme ni miongoni mwa wanamuziki wanaosifika kwa kupenda na kupendwa mno na mademu, hakuna ubishi kwani hata yeye najiita Daktari wa mapenzi, je ni kweli anawatibu kisawasawa????

Kidume huyu hivi sasa anaishi na wake wawili Leila Rashid na Chiku, lakini aliwahi kuelea kwenye chemichemi ya mapezi na Joha Kassimu kabla ya kumwagana.

Sasa siri nzito imegundulika kuwa uenda akapoteza udaktari wa mapenzi kutokana na maradhi yanayomsumbua tena inadaiwa maradhi yenyewe yamekaa pabaya mno.

Nyeti za uhakika zinadai tena yamekaa pabaya mno nyonga a.k.a kiuno ch mzee Yusuph kiko nyakanyaka tena, taabani yaani hakifai au unaweza kukiita mkweche.

Kama ilivyosikika hivi majuzia alianguka katika studio ya redio Clouds na kukimbizwa haraka haraka hospital ya TMJ, sasa je itakuwaje kwa wale waliotangaza ndoa kama Dida alisema anataka kuolewa na Mzee Yusuph nasubiri talaka tu toka kwa mume wake Mchopanga?? Je hiyo ndoa bado iko??

Lakini hii ni kama adhabu jamani kwa maana kaka huyu anawadhalilusha sana wanawake kwani ukiimba tu katika bendi yake basi lazima utembee naye??? aslilimia kubwa ya wake zake ni waimbaji Taarabu bora mdogo wangu uliona mbali ukajiamulia la maana.

MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANA

Wadau lete mambo!!!! mishy nakuaminia!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. yaani naomba asipone haraka muharibfu mkubwa.

    ReplyDelete