Sponsor

HARUSI YA SIXTUS SAFARI NA PREXIDA ILIYOFANYIKA KILUVYIA NYUMBANI KWA ADVOCATE SAFARI

5:59:00 AM


Palipambwa vinzuri sana


Kila meza ilikuwa na ratiba

Mama Tona
Me & Batuli


Baada ya kinywaji kulikuwa na barberque

Tona alisimamia harusi ya kaka


Tona na ndugu zake


Tona


Muni Baby

Bi Joha na Da Hidaya asanteni sasa dada zangu kwa
kunisindikiza mpaka kiluvyia


Asante Batul mdg wangu sina cha kuwalipa

Bi harusi

Bwana harusi

Bi Joha akicheza ngoma ya kinywaranda kwani
kafanana nao sana, walikuwa wanamuuliza umekuja lini?


Dada na Shemeji yake Advocate Safari

Tona & Muni enjoy the dancing

You Might Also Like

3 comments

  1. jamani tonakawa mrembo hivyo hongera,hellen nimepoteza namba yako nipigie mi sia.

    ReplyDelete
  2. leo nimefurahi sana kuona cooment za shosti wangu siah kisanji au mama suzy tulikuwa wote ticts, raha iliyooje kuona rafiki yako ni fan wako asante siah mpenzi wangu

    ReplyDelete
  3. thanks mumy tupo pamoja!keep it up!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.