HARUSI YA MTOTO WA MWANAIDI OMARY MAGOMENI RUSHA ROHO

Samahani wadau nilichelewa kwa hiyo sikuweza kumpiga picha bi harusi na mumewe nikawakuta wamekwisha ondoka
Nyota pia alikuwepo
Watu wakirusha roho!! umemuona Da Sherry


Mama Jasmeen akiwa na Nyota


Kulikuwa na mazagazaga kibao supu ya kuku, uji wa kungu na etc


Shida nakuaminia mtu wangu umetoka na bomba na Dash 
lako la nguvu wa mbili wa mbili havai 1


Sharifa & Nyota
Uji wa kungu moto moto
Mwanaidi na Salama wale wapendenao wanavaa 
sare sera yao kupendeza kwa kwenda mbele hakuna kuzeeka


Da Joha a.k.a Big Sis Designer Mkongwe anayekwenda na wakati
Sasa anapokea order za nguo toka duniani nzima, hakuna wa kuifunga riziki yako dada yangu
Hidaya na Joha nawapenda sana

Japo hawatatoa sauti wataisoma kimya kimya lol....

Hasina Baby Girl
Bendi iliyokuwa ikipiga ni ya Siaba Juma, Mashallah kijana ana sauti ya ajabu!! 

Mama Jas nipe jina la huyu nimesahau da anapenda taarabu kweli
Hasina na mamaye Joha wakirusha roho
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. ur swahili grammer, kiswahili kinakupa taabu kidogo??? ni mashaallah ni si maishallah na sio hana sauti ni ana sauti.

    ReplyDelete
  2. Asante mdau wangu kwa kunirekebisha tayari nimebadilisha ni kweli kabisa kiswahili changu siyo kinzuri samahani kwa usumbufu wadau wangu tukienda hivi nitabadilika pale nilipokosea mnikosoe

    ReplyDelete