Sponsor

OUR PRINNCESS BABY MUNI'S BIRTHDAY PARTY ON SATURDAY!!!

3:25:00 AM


Muni 


umechaki swaga za muni anakwenda na wakati


Cake ilikuwa tamu saaaaana!!


Muni anazima mshumaa wake wa miaka 3!!


Muni akimlisha bibi yake Fatmah Simba


Mama Simba akilishwa cake toka kwa kitukuu chake


Bibi Bibi bibi huyoooo!! bibi 


The great Babu Mzee Abdallah Hashim


Batul akilishwa cake


Salma naye akukosa


Mummy aliamua kumlisha mwanaye!


You Might Also Like

2 comments

  1. Mwenzangu huyu Muni yuko juu naogopa kunyang'anywa mume, hivyo viatu huku jp bei ni sawa na nissan march Lol

    Jamani Mama Simba amenikumbusha Mama Dachi a.k.a Mama Mbaya

    ReplyDelete
  2. Kumbe unawajua sana hawa kina simba?? da joha aliniambia ulimpigia simu wewe ndio mariam?? kama ni nivyo basi raha kwa kwenda mbele

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.