Sponsor

WATANZANIA WALA BATA JANA NA RAIS KIKWETE, NEW YORK

1:17:00 AM

Hii ilikuwa jana usiku katika dinner iliyoandaliwa na Tanzania Education Trust Inaugural Gala in New york

Hapa Muheshimiwa Rais akiwa ameadmire oversize clutch ya Millen ambayo designer is from Ghana, pembeni tunamuona Hasheem Thabeet

Rais na akiwa na vijana wake wa kitanzania FJ na Happiness
Picha hizi ni kwa hisani ya http://fashionjunkii.onsugar.com/
Tafadhali ingia humo kwa mapicha zaidi

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.