Sponsor

TROPICAL CLUB KARIAKOO NA BENDI YA BONGAMOYO!!!

3:43:00 AM

Bahiya Rumerenzi akirusha roho kwa raha zake ndani ya Tropical
eeh! Saida china naye akamtunza maana ukiingia Tropical watu hawaongei
kwa mdomo wanajibinzana kwa pesa tu
hasina na mama yake, hasina msg send bwana tulilipa!!
Bahiya, Bijoha na Saida!
Halooooooooo! haya sasa twende!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.