SINGO YA LATA, MSASANI NYUMBANI KWA TAHIYA DAWOOD, JUMAMOSI 17-APRIL-2010, SORRY WADAU WANGU PICHA HAZIKO CLEAR, CAMERA ILIKOROFISHA KDG

Bibi harusi Lata akiitolewa nje na somo yake!!
Somo akimuongoza bi harusi kwa style ya kukata mauno kweli kweli hakika somo nimekukubali
Tahiya kati na mashosti wake wakicheza kwa furaha!!
Tahiya na bi harusia Lata kabla ajafunuliwa uso!

Hawa Mkamba na rafiki
Tahiya na rafiki, sare ilikuwa zebra, ilipendeza saana!
Tahiya na shosti wake!
Ashura na rafiki, we Ashura unapendeza sana mpaka nakusahau mwanangu mwenyewe!!


Mwajey Seleman na rafiki

Kulia: Ni mama yake mzazi Lata au siku kama hii tunamwita mama mzaa chema!!Tahiya kushoto na rafiki, hakika Tahiya una roho nzuri kama sura yako maishallah M/Mungu akuzidishie tulifurahi sana, dada huyu ni mkarimu kwa kila mtu anayekujua na asiyekujua

KULIKUWA NA NYONGA KWA KWENDA MBELE EBU TAZAMA PICHA HIZI.......MAMA MINGOWI ALIKUWAPO
Kama kawaida yake alifanya fujo ya kutosha na style za kufa mtu da!! hii hatari saaana!


Nazidi kuwaomba radhi sana wadau wangu kwa picha hizi lakini panapo majaliwa yake Mwenyezi Mungu, siku ya alhamis 22-April-2010, ni ndoa saa moja na reception pale DAIMOND VIP HALL kadi ninayo mkononi tayari mtapata picha nzuri saana!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment