DIAMOND - KWETU MBAGALA , HUYU MTOTO IS THE BEEEST!

Kiitikio

Tatizo kwetu mbagalaaaa...

hapa nyumba mbele jalaaaa
Tatizo kwetu mbagalaaa
huko na mapenzi siweziiii

BETI YA KWANZA
Busara na upoleee na hekima niliyorithi kutoka mama yangu mamaaa

Vyote hakuvijala ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
Makuti na mkole ukakata kabisa na shina la penzi langu.
eti kisa mali ukaona bora uniache mimi na uolewe


Ile siku shekhe namwona anachoma ubani
unavishwa pete unakuwa mke wa flani

niliumia sanaaa ... sanaaa
Ile siku shekhe namwona anachoma ubani
unavishwa pete unakuwa mke wa flani
niliumia sanaaa ... niliumia sanaaa .....inaendelea

Hapa mimi napapenda zaidi...
Nasikia hivi sasa huna mtoto anaitwa MAMU vile akinuna mpaka akitabasamu mmefanana saaana!!!


Yaani hii nyimbo ni nzuri sana na huyu mtoto analalamika sana nyimbo yake ya kwanza "nenda kamwambie" na hii pia kadampiwa sujui wanamdhulumu penzi lake jamani its so sad, mimi napenda sana bongo flava, kesho nitupload nyimbo yake! even the vedeo its best.....!!!, yaani huyu mtoto anaimba vitu vya ukweli kwenye maisha ya siku, sio mapenzi ni pesa yako tu......!!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment