Sponsor

KITCHEN PARTY YA LATA PRATAP

2:43:00 AM

BRIDE - LATA PRATAP
COLOR-BLUE
VENUE-HELLENIC CENTRE

DATE-11 APRIL 2010
MC - MWAJUMA SARAHANI 

Bi harusi Lata akiingia ukumbini

Lata akisalimia wageni kabla ya kukaa

MC - Mwajuma Sarahani

Wifi yake Bi Harusi - Tahiya hongera sana

Batul Said Mtumwa all the way from Holland

Tahiya akirusha roho kwa raha zake

Watu wakirusha roho

Fadya!
Hidaya Mchowela
aunty huyu alikuna sana alikuwa anamcheza Daimond "Nenda Kamwambie"
Tahiya na shosti wake
Da Joha ndiye aliyeshona nguo nyingi za sare
Nanah & Friend
She is amazing woman!
Hellen & Batul
Tahiya na Hawa Mkamba
Afsa, Bijoha na Mama Mtumwa
Mwajuma Sarahani MC wa ukweli
Jamani hawa ni pacha nini?
Mama Saida alikuwepo
Huyu tena nani vile??? jina limenitoka
Hukosekani shoga!!
Fadya bado unadeka?? mama's love
wifi wifi mara mbili
Fatmah Simba na Mwajey Seleman
photogenic zinapogongana
Batul na Da Fatu
kwa raha zao!
Shumu na fadya
Mtu na mkwewe
Bahiya uko bomba kichizi na African dress na pozi utafikirii "miss utalii"
Mama na mwana jamani msishangae wote wako sawa! Batul na Ashura
Afsa, Saida na Bijoha
Wapendanao!!!

Bijoha akimtunza Tahiya
Mamiss wa enzi hizo
Jamani ilikuwa raha tupu!
hellen na Tahiya
Love group
Bi Fatu na mashoga zake
Tahiya alitunzwa dollar na mashosti wake

Baada ya kumaliza kitchen party watu walikwenda Tropical karikaooo picha zaidi kesho..........

You Might Also Like

1 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.