Sponsor

J. MARTINS AWAPAGAWISHA MASHABIKI DAR!

12:08:00 AM

Alianza na CHID BENZ akisindikizwa na CHIKU kama mnakumbuka mwana dada ambaye alikuwa katika Bongo Star Search mwaka juzi

Akafuatiwa na BELLE 9 na yeye akisindikizwa na vijana toka THT, huyu kijana alifanya vinzuri sana THT tunaona mazao yenu kweli yanalipa!

J. MARTINS alifunika ile mbaya kwa show fupi ambayo tulienjoy kwa kweli

Mashabiki shangwe na camera kibao zikichukua picha

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.