HARUSI YA MUNGA SHABANI MTENGETI - LUNCH REGENT NYUMBANI KWA DA MWANTUM MALALE

Maharusi - Munga Shabaani Mtengeti na Amina Munga Mtengeti
Balozi Radhia Mtengeti-Msuya
Waheshimiwa-Mr. Madabida na Professor Migiro
Joha Simba -Abdallah na shosti wake Afsa Mbaraka
Rtd. Brigadier General Simba Waziri Simba na Said Ibrahim
Da Mwantum akimbembeleza mjukuu
Warembo! mmoja wao tunasubiri kucheza harusi.....lol
My Princess Tona & Naima hawakupitwa
Fatmah Simba na Flowers
Rukia Masasi a.k.a mama Abdallah
Madame Amina Shabani Mtengeti na Dada Joha Simba Abdallah Hashim
Batul, Afsa na da Joha
Batul  Said Kassongo na Mama Tona & princess pembeni, nimegundua watu nikiwaomba wanipige picha na mimi hawataki ndio maana sitokei sana
Da Amina Mnazini
Mr & Mrs Simba & Professor Migiro na bi harusi
Picha ya pamoja na maharusi tona & naima mmejitahidi hamkupitwa
Balozi Radhia Msuya na Joha Shamte
Fatmah Simba na Flowers
Balozi na Maharusi
Joha na wifi yake Farida, Mzee Simba na Bi Masika
DADAZ
Balozi na Bi Masika
Pozi- Madame Amina Shabaani Mtengeti
Bi Halima Sheta nampenda sana huwa anapendeza sana akivaa Naija woman
Muheshimiwa Balozi Radhia Mtengeti Msuya
Da Aza
Damwa
Shani
Faye
Da Shufaa Kiango a.k.a Mama Ngandu
My Models Fatma & Mariam!!
My Flowers Tona na Naima
Abdallah Simba na Shangazi yake Joha Simba
Fatmah Simba wee utadhani uko marangu juu na hilo lemba
Da Shukuru na Friend
Da shukuru sijui alikuwa anarusha roho!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. mashaallah...!!! maharusi walipendeza na waalikwa pia walipendeza...!!!! shukuru

  ReplyDelete
 2. wewe dada kanunue camera nzuri mapicha yako mabayaaaaaaaaaaaa yanatuumiza macho unatumia vile vicamera vidogo vya zamani nini??vya kuosha picha??watu wanaonekana kama wadudu bwana...kama huwezi ingia mablog mengine uchukue uzoefu sio kutuumiza mambo....lol.....najua utaibania hii comment lakini habari ndio hyo...

  ReplyDelete
 3. wala siwezi bania comment yako kwa sababu hujatukana, kama ni maneno yapo hata kwenye kanga bwana! ni kweli natambua hilo siku za karibuni nitapata camera nzuri tu, na hii camera ambayo natumia siyo kama hivyo unavyosema kwa hiyo nikisafisha picha ndio niscan halafu nizipost!!!!!!!!!!!!! kazi mara mamgapi???? halafu blog hazina shule labda uwe ujasoma kabisa, na kama inakuumiza macho usiingie usije ukapofuka, waache wale ambao wanaapreciate kwa hivi ninavyofanya thanks

  ReplyDelete
  Replies
  1. Dada mashughuli usijali hayo ya picha ndogo au kubwa ilmradi lengo lako limetimia at least wewe umeweza kufanya hivyo yeye mbona hiyo blog yake yenye picha za kisasa hatuoneshi mara nyingi wenye kulaumu wana majelous yao tu onesha ulichofanya wewe kabla ya kulaumu. Kazi yako ni nzuri na unatuburudisha sana sisi tulio nje Big up Mshughuli

   Delete
 4. Mmmh!

  Makubwa, ss ndio mlikosa ua la kuweka kichwani kwa bi harusi ama? Bi harusi huyo wa wapi? mbona mshamba? hajawaona wenzie wanavyotokea? Na makanga kwenye sofa? KISHAMBA ZAIDI SIJAIPENDA

  ReplyDelete
 5. wamependeza mwaya,huyo mtu anayesema hawajapendeza ana lake jambo

  ReplyDelete
 6. manshallah mmependeza bw na bi harusi mwenye wivu ajinyonge na kamba ajitundike, kanga ni minor issue!

  ReplyDelete
 7. harusi simple haina makorokoro na hawa ni watu wenye nyadhifa na fedha zao. mimi nimeipenda maana hata wazungu wanafanya harusi kama hizi tofauti wao hufanyia kanisani au msajili. very simple very nice. na ndoa hizi mara nyingi hudumu

  ReplyDelete
 8. mbona picha zimetoka vizuriii tu jamaniii. wabongo siye jamani tuna yetu. picha natural hazina ma-photo shop kujazia jazia urembo wakati mtu haupo hivyoooo. duh! bongo mrindima

  ReplyDelete