Sponsor

DIDA KUOLEWA NA MFALME!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????.............

12:02:00 AM

PRESENTA wa kipindi cha mirindimo ya pwani Hadija shahibu, anatarajiwa kuchumbiwa na Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarabu Mzee Yusuph, Dida aliyasema hayo katika gazeti la Amani alipohojiwa kuhusu habari hizo kama ni za kweli au la!

Kwa masikitiko Dida alimalaumu mumewe wa kwanza Mchops kwa kutompa talaka kwani mpaka sasa hivi Mzee Yusuph ameshatuma mshenga nyumbani kwa mama yake Ubungo National Housing, kwa kinywa chake Dida amesema yuko tayari kuwa bi mdogo! Na yuko tayari kupeana zamu kwani hakika mapenzi ya Mzee Yusuph ni hatari tupu, kinachokwamisha ni hiyo talaka lakini anamuomba Mwenyezi Mungu amajalie apate hiyo Talaka ili aweze kutanua na Mfalme.

HABARI NDIYO HIYOOOOO!!!!!!


You Might Also Like

2 comments

  1. Mashughuli huyu mtoto ataolewa mara ngapi jamani so kwa hiyo huwa anolewa ndani ya ndoa siku zote ha ha haaa kazi ipo TZ

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.