KWA NINI MA BI HURUSI WENGI WANAPENDA HIZI STYLE ZA NYWELE?? AU NI SALOON ZETU SIO WABUNIFU???Mimi binafsi kwa kweli siipendi kabisa hizi style zimekuwa common na pia ni style za siku nyingi sana, inawezekana pia ni ma bi harusi ndivyo wanavyotaka kubanwa, lakini ninavyoelewa mimi bi harusi anapangiwa style ya kubanwa kutokana na uso wake ulivyo, ebu tuangalie harusi za Naija wenzetu they are ver creative hata ukija kwenye swala la colour of the wedding wanakuwa na rangi tofauti sana, kuna siku pale Daimond Jubilee kulikuwa kuna harusi hall la VIP  na hall kubwa basi harusi zote colour ilikuwa ni pink basi watu walichanganyikiwa sana, kuhusu rangi ya harusi ni rangi gani nyie maharusi mnaipenda kila mtu hana rangi yake ambayo anaipenda, siyo kwa sbb harusi ya rose alitumia Gold ikapendeza basi na mimi natumia hiyo hiyo Gold, hapana ni rangi ambayo siku zote kwenye maisha yako ukiiona moyo unalipuka ndio hiyo uitumie kwenye harusi yako, wadau changieni mawazo yenu pia.

                                                Ukumbi

Ebu muangalie bi harusi yuko very simple hajajaza vitu kichwani sijui ribon!!!!
Mdau je umeona style ya nywele ya hawa wapambe?? sio kubana na rasta!!!!


Nimekuletea hii kwa ukaribu kabisa muone jinsi alivyokuwa simple lazima tuwe tofauti bwana sio kila siku style ni hizo hizo tu

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment: