Sponsor

ANGELLA LUBALLA NDANI YA MISS AFRICA USA

11:11:00 PM


Angela Lubala Miss Temeke mwaka 2008 na aliyekuwa Miss Reds mwaka 2008 lakini alilivua taji hilo la Reds kutokana na sababu zake binafsi sasa yuko ndani ya Miss Africausa 2010, Angella Lubala alishiriki miss tanzania mwaka 2008 na kuwa mshindi wa nne ambapo watu wengi ambao walilalamika sana kutokana na uwezo wake wa kujibu maswali vinzuri na kujiamini kwake. Kwa sasa hivi yuko nje ya nchi anasoma, katika chuo anachosoma amechaguliwa rais wa chama cha wanafunzi wa afrika (African student Association), na sasa hivi anaiwakisha Tanzania katika Miss Africa USA.

BLOG HII INAKUPA HONGERA NA PIA TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA MISS AFRICA USA NA MASOMO YAKO!

TAFADHALI TUNAOMBA MPIGIE KURA MARA NYINGI UTAKAVYOWEZA AU TEMBELEWA KWA HABARI ZAIDI

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.