NIMEACHA UJAMBAZI SASA NIFANYE KAZI GANI???

Nilisoma hii kwa Mange on sunday nimeona niwawekee wadau nanyi pia muone

,,mrembo mange, pole sana kwa kazi nzuli sana ya kunadika blogu yako. mimi ni mshabiki wa globu yakosana, na kila siku lazima niendage kwenye intaneti kuangalia mange na email yangu. hata marafiki zangu hawakomagi kukaa na kujadili wanayoyasoma kwa hiyo lazima tujue yanayoendelea dar esalaam na huko majuu.

mimi nina tatizo moja tu ambayo ni kubwa kwa kiasi chake. mimi nilikuwaga mwizi wa magari huko daresalam na hata saa nyingine tunaendaga hadi afrika kusini kuleta mengine, na hata nairobi, ila hiyo kazi nilishaachaga mwaka juzi baada ya kuponea pupuchupu,, na sasa hivi mimi nafanya tu biashara ya kawaida ya kioski na kulima sana, ambayo hela ninayopata naona ina faida kuliko ile nyingi ya wizi ambayo yote tulikuwa tunamalizaga kwenye strarehe na wanawake.

ila kwa bahati mbaya baada ya kuhacha wizi 2007, polisi kila siku badowananisubuaga na wanataka niwaonge. gari tu likiibiwa wananifata. nimeshawalezeaga kwamba mimi siibi kitu mwaka wa tatu sasa na ninafanya kazi zangu za kilimo cha kahawa na biashara, lakini hawanielewi, askari kanzu kila siku wananifata hata nikiwa shambani,, lakini wanakosaga ushahidi na kuniacha.

napenda kuwauliza wadau nifanye kitu gani, au ni biashara gani naweza kufanya nje ya moshi ili nikae kwa amani?

napenda washauri wa biashara kama dakitari hileba shayo, mashaka john, na dr. jesca batanyita ambao wanatushauri sana kuhusu biashala...na wadau wengine wanishauri nifanye biashara gani nzuri itakayonilisha na watoto wangu na kunitoa kwenye meno ya polisi ambao kila ninalolipata wanachukua kwa kutaka ongo dhidi ya wizi ambao siujui? nimechoka sana kusubuliwa na hawa polisi nataka tu amani ya kukaa na familia yangu, mke wangu na watoto wangu wachnga wawili. au kama wanawez wanisaidie nitoke nje ya tanzania nianze maisha mapya. mnaweza kuandikia kutmia email yangu,, naangalia kila baad aya siku mbili

, ndimi mtiifu

geradi mallya.

SIKU CHACHE BAADAYE MAJIBU YAKAWA HIVI

My sister Mange,

I received an email in which someone( your reader) , I believe found my name and forwarded it to me. I read it with dismay and total disbelief . In short I was shocked! This is quite interesting, and can see how life is full of debacles, and how far it can drive people into higher heights in dealing with its challenges . Mr. Mallya’s admission is one of a kind, and shows how deeply he is convinced that the only way to live a long and decent life is to confess his previous wrong doings. We must forgive him !

It is an example to be emulated in our quest to nurture peace in our current troubled universe. I am sure we are living in a tolerant society, and Mr. Mallya should not be condemned but rather be hailed as a hero, for having led the way in finding acceptance as well as serving as a role model for those ready to be integrated in the main stream society. We must find a way to help him

I am particularly touched, and will be more than happy to communicate on how to help him, or just discuss other alternatives Including an offer to help him secure a decent housing in the range of Tsh. 300,000 a month , for a period of one year while he is seeking other avenues in rehabilitating his life. Will also will be happy to find a volunteer who will monitor his progress and verification of the furnished details before we can proceed with the proposed plans


Best Regards,

John

Kaka John,

Uturn tunakupongeza sana kwa moyo wako wa kujitolea na nina uhakika huyo kaka alikuwaga jambazi huko nyuma atanufaika sana na msaada wako.

Ningewaomba wadau wengine wa uturn tuige mfano wa kaka John,’

Thanks John


BLOGU HII YA MASHUGHULI INAKUPA HONGERA MANGE KWA KUFANIKISHA MSAADA HUU KUPITIA U-TURN. WADAU KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA U-TURN http://www.u-turn.co.tz/

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment