Sponsor

JUMAPILI TAREHE 28-02-2010 40 YA MAREHEMU ZAMZAM, TANDAMTI KARIAKOO

11:05:00 PM

Familia ya Brig. Gen. Ret. Simba Waziri Simba ya Dar es Salaam, inapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati ndugu, jamaa na marafiki waliokuwa nasi na kutupa moyo katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa wa mtoto wetu Zamzam hadi kufariki kwake.

Arobaini ya marehemu ZamZam itafanyika tarehe 28-02-2010, Tandamti Kariakoo nyumba no 77 saa 7 mchana.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi amina!
inna lillahi wa inna ilayhi raji un

Nyote Mnakaribishwa

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.