JAMILA's KITCHEN PARTY DIAMOND JUBILEE

Bi harusi Jamila

mama mzaa chema

Ankal Masoud, lazima mambo yaende sawasawa akiwemo yeye alkiharibiki kitu

Kutoka kushoto Asia, Bahiya, Batul na Ma' Nuru - mlipendeza kweli kweli nimemiss kila kitu majaaliwaBahiya na ma' harusi wakienda kumtunza nyota waziri, kama kawaida Bahiya Lazima uwake nyota yako iko juu hakuna wa kuishusha chini, wenye wivu wajinyonge!!! sio kuzua


Mariam mkweche  umetoka bomba!
Shamimu ngoja nijaribu kujibu hii ni kwa ajili ya kufukiza nguo shosti sema hichi pambe sana!
Tanisa na mashosti wage, tanisa nimependa nguo yako designer nani? Bijoha au Bahiya??


Bi harusi na madada na mashoga zake, muageni kabisa aenda zake huyoMC mzoefu mama Dalila Jagar, pia huwafunda wanawali na bi harusi au kuchezwa unyago ukimtaka anapatikana kupitia blog hii, bibi lazima ujiandae ukishangaa sana unachukuliwa mume! hii ndio bongo

Picha zaidi mtembelee shamimmu aka zeze mapicha kibao

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. sijapenda ilivyovaa au ndo kiarabu??

    ReplyDelete
  2. mambo ya uarabun hayo dada .ila inaboa

    ReplyDelete