HAYA TUONE WEDDING ZA HAWA WANAIGERIA FUNIKA BOVU!


Hapa ndio sehemu ya ukumbi maarusi walikaa katikati ya swimmning pool hatari!!!!
Very very simple cake!
nimependa hii idea ya firewalks!
Wageni waalikwa ambao pia ni macelebrity kutoka kulia
Grace Amah/Kenny Brown/Mercy Johnson, huyu mercy ni actress mnzuri sana nafikiri kuna picha moja amecheza na kanumba pia ze comedy masanja yumo!
Mastaa wengine wao, umenotice bega moja iko kwenye chati haya wenye vishepu vyao!
Huyo kwanza pia ni actor anaitwa Chidi Mokeme, colour of the wdding lazima kila mtu atie japo kdg angalia viatu vya chidi purple! Thanks Bella Naija!

WADAU WANGU KAENI MKAO WA KUONA PICHA KWANI KUNA HARUSI 2 ZA WATU WA MJINI HAPA BONGO WENYE MAJINA YAO NA MIMI PIA NI MMOJA WA WAALIKWA.

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. hellow dada napenda sana blog yako naomba tafadhali uniambie mpambaji wa harusi ya emelda alikuwa nani nimependa sana pamoja na ukumbi na kama una cotact zao nina harusi June na nipo nje ya nchi yani mambo heka heka nimechanganyikiwa. Nitarudi hapa kusoma jibu lako. aksante

  Zahara

  ReplyDelete
 2. Namba yangu ya simu ni 0655426100 nipigie ili tuongee kwa kirefu, contact zao zipo utazipata mpenzi wangu

  ReplyDelete
 3. dada uko nchi gani namba haijaingia naomba na country code. asante au kama una email adress nikutafute

  Zahara

  ReplyDelete
 4. Niko Dar my country code is +255655426100 ukikosa hiyo tumia +255784426100

  ReplyDelete