Tunaendelea na kona yetu ya "Mwanamke na Usafi" Leo Tunazungumzia Nyusi

Mimi binafsi huwa napenda kuondoa nyusi zangu kwa kutumia uzi japokuwa huwa inauma sana lakini ni maumivi ya muda mfupi sana, lakini raha yake,  ni vile nyusi zako zitakavyooneka na pia muda ambao itachukua mpaka ziote nyingine kidogo inakupa afueni kuliko kwenda saloon kutoa mara kwa mara na wembe na pia tuna risk sana kutokana ugunjwa huu wa ukimwi kwani kiwembe pia ni njia mojawapo ya maambukizi kama kitatumiwa mara mbili na watu tofauti na kati ya huyo mmoja ni muathirika wa ukimwi, pia watu wamekuwa sio waaminifu hasa wafanya biashara wa masaloon kwani wanaweza kutumia mara mbili. Siku zote mwanamke akitanda nyusi zake basi uso wake hutaonekana ni msafi na wa kupendeza, kwa wale wanaotinda nyusi zao basi ningewashauri kuanza kutumia uzi katika kuondoa nyusi zao.

Maoni yenu muhimu wadau

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment