Sponsor

SAIDIA SAIDIA KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI

9:57:00 PM

Ndugu zangu watanzania," kutoa ni moyo si utajiri" tujaribu kutafakari msemo huu ndio hujiangalie huna kitu gani kinachoweza kusaidia watanzania wenzako ambao wameathirika na mafuriko kutokana na mvua zinazonyesha hapa Tanzania katika mikoa mbali mbalia, jiangalie ndani mwako kuna nini ambacho kitachoweza kusaidia, kama kawaida yetu utamkuta mtu ndani mwake ana nguo nyingi ambazo hazivai si yeye tu hata na watoto basi unweza kukusanya ukaonana na hawa watu wa TPN kwa ajili ya kuwakilisha msaada wako

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.