MUME AFA AKIWA NA MKE WA MTU!!!

Jana nilisoma hii story katika gazeti la mwananchi, si unajua washereheshaji walivyokuwa na masifa tena mchaga, sasa sifa kibao juu ya mke wa mtu kumbe kifo........jamani lets share


Mshereheshaji maarufu katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, Willy Lema alifariki akiwa anafanya mapenzi na mwanamke ambaye ni mke wa mkazi mmoja wa Nzega mkoani Tabora, linaripoti gazeti ka mwananchi.


Lema, ambaye alifariki ghafla akiwa kwenye chumba cha Hoteli ya Newcastle mjini Moshi, an a mke mwenye watoto na familia yao inaishi jijini Arusha.

uchunguzi wa gazeti la mwananchi, tukio hilo ambalo limekuwa gumzo katika miji miwili umebaini kuwa mwanamke huyo anashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya tukio hilo.

Habari za kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la polisi zinadai marehemu na mwanamke huyo malikuwa na mahusiani ya kimapenzi ya siri kwa muda kwa muda mrefu tangu mwaka 2001.

Vyanzo mbalimbali vilivyo mkariri mwanamke hyo akitoa maelezo polisi, vimedai kuwa baada ya kufanya awamu ya kwanza ya tendo la ndoa, Lema alimuomba mwanamke huyo wafanye tena kwa staili nyingine jambo ambalo alilitekeleza.

Baada ya marehemu kufanya kwa staili ile aliyoitaka aliishiwa na nguvu kabisa, mpashaji wa habari hii alidokeza kuwa kabla ya marehemu kufika Newcastle, Lema alipata kinywaji cha bia ambapo mwishoni alichanganya na konyagi ili kuongeza nguvu kama wanaume wengi wanavyoamini, marehemu pamoja na mwanamke huyo wote ni wenyeji wa Machame, baada ya marehumu huyo kuishiwa na nguvu alikiambizwa hospitalini KCMC lakini mpaka kufika pale madaktari waligundua kuwa amekwisha kufa mapema.

JAMANI TUCHANGIE MAONI YENU JE NI KONYAGI AU................................. NDIO ILIYOSABABISHA KIFO??????

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment: