SILMAL

TAFUTA KITU BLOGUNI

Loading...

INALILAH WA INNA ILLAIHI ROJIUN, BURIAN ZAMZAM

Asubuhi nimepokea taarifa za msiba wa kipenzi chetu merehemu Zamzama mtoto wa dada yake Bijoha Simba,  Bi Masha uliotokea pale Muhimbili Hospital, Taarifa zaidi baadaye, Daima tutakukumbuka Zamzam kwa ucheshi wako!

1 comment:

  1. inna lillahi wa inna ilayhi rajuun, Mwenyeezi amlaze mahala pema peponi AMIN

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...