Sponsor

HAPPY NEW YEAR WADAU WANGU!

2:36:00 AM

Kuna mengi sana ya kushukuru kwa mwaka 2009, lakini mimi napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya nzuri pamoja na familia yangu, na pia kunipa nguvu za kuweza kufanya kazi ndio kubwa, Pia ndugu jamaa na marafiki tuliokuwa tumekoseana basi tusameheane na kuanza upya si maanishi tugombane tena halafu tusameheane hapana tupendane, tuishi kwa furaha! stay tune kupata mambo kemkem wadau!!!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.