GOSSIP - UMBEA!!!!!

Katika kuboresha blogu ya mashughuli nitakuwa na kurasa mpya ambayokwa wiki itatoka mara 2, itakuwa inahusu umbea au Gossip, kama kuna lolote lile umelisikia na huna hakika juu ya hilo basi litume kupitia email ya mashughuli@gmail.com, lete hapa tulianike tipate kushare na wenzetu unakaribishwa bila gharama yoyote ile!!!!!!
lete mambo wadau!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

 1. Naikitika!!!!!!!!!

  Hivi jamani kwani mwizi wa elfu moja na elfu kumi wote?!!

  Hivi majuzi tu tumesikia Mkurugenzi Mtendaji wa MUWSA Bw. Kasonta na mwenzie wakituhumiwa kwa wizi wa TSh 1.4 milioni na TAKUKURU.

  Cha ajabu bado yupo kazini wakati inasemekana kuwa fedha hizo ni kweli watumishi walipewa kama masurufu lakini ilikuwa ni fedha za mkuu huyo kulipia baadhi ya majukumu ya harusi ya bintiye!!!!!!!!! Kwa ni huo siwizi tu?

  Ndo kusema kuwa kuna hongo ama uchawi. Na kama yupo kazini hao wafanyakazi wanaosemekana kupewa hizo pesa watatoaje ushahidi mahakamani dhidi ya bosi wao? NASHANGAAA. TAKUKURU Mpo ama ni Hangaisha Bwege?!

  Tanzania Bwana!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete