Watoto Christmas Show na Lady Jay Dee

Wapendwa wazazi, walezi na marafiki.
Tunaandaa onyesho maalum la watoto siku ya x mass tar 25 December kuanzia saa 8 mchana hadi 12 jioni. Pale Zhong Hua Garden.

Kutakuwa na mashindano ya vipaji vya watoto katika kuimba, kucheza na kuonyesha mitindo na vipaji mbali mbali.
Tunaomba wazazi/ walezi na marafiki waje kufurahia na kuwaleta watoto kwaajili ya kuonyesha vipaji vyao pamoja na kuimba na kucheza na Lady Jay Dee

Father Christmas atakuwepo kutoa zawadi nyingi kwa watoto
Na tutaalika wasanii wengine mbali mbali wanaopendwa na watoto
Sijawahi kupata bahati ya kufanya onyesho la watoto kwahiyo nadhani huu utakuwa wakati muafaka wa kuwafurahisha na kuwapa watoto zawadi nyingi za x mass.
Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya xmass na mwaka mya

Kwa wazazi/ walezi watakaopenda watotot wao washiriki kuonyesha vipaji vyao, tuwasiliane kwa e mail judyjaydee@yahoo.com au kwa simu namba 0784 700 884

Natanguliza shukrani
Jide

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment