TANZANIA RED RIBBON CHILDREN'S DAY

Hakika mbunifu Bahiya Lumelezi alifunika sana na baibui lake la ukaya, stay tune upate kulifahamu baibui la ukaya ni la aina gani? na linavaliwa wapi!! mimi hupenda kumwita "creative designer" ulifunika jana!!!!
Mimi huyoo na michuzi, thanks michuzi kwa ushauri wako!
Latifa "baby face" & Tanisa
Bahiya Rumerenzi na baibui lake la ukaya, wakicheza ngoma ya bomu!
Asio Idarous muandaaji wa hafla nzima
Hadija Mwanamboka na Mustapha Hassanali wakicheza nyimbo ya kihindi
Ali Remtula jana alitoa kali yeye alicheza nyimbo ya kizaire, ukichanganya na kiuno cha kihindi
watoto walipambwa kwa rangi tofauti
Asia designer pamoja na mabinti wareeeembo sana Didah & Tanisa
Tanisa & Didah katika pozi!
Bahiya "Creative Designer na wana"
Mimi huyo na Shamimu au zeze wa 8020fashions.blogspot.com, thanks mdg wangu for your support i really appreciate
Didah & friend
Hadija Mwanamboka designer
Matonya akiimba na watoto
Designers katika pozi

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment: