Sponsor

POLE MDAU SIAH KISANJI

11:21:00 PM

Globu hii inakupa pole mdau Siah Kisanji kwa kufiwa na mama mzazi pale Morogoro siku ya Jumamosi usiku, tuko pamoja na wewe katika wakati huu mgumu!, Kesho mazishi yatafanyika Morogoro tuko pamoja. Tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi!, apumzike kwa amani mama yetu!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.