Sponsor

MISS MTWARA NA MASHINDANO HAYA YALIDHAMINIWA NA VODACOM

3:11:00 AMHaya mashindano yalifanyika Mtwara katika shule moja ya sekondari na huyo ndiye miss aliyepatikana, sasa sijui ni vigezo gani vilizingatiwa labda alikuwa anatema lugha kisawasawa enzi zile kina saida kessy walivyopatikana, stay tune nitakuletea picha zaidi.

You Might Also Like

1 comments

  1. Haya ndiyo mashindano ya kweli sasa kwani yanaonyesha hali halisi ya mwanamke wa Kitanzania. Nimeyapenda!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.