Miriam Odemba

Alizaliwa mwaka 1983 katika mkoa Arusha, alianza kujulikana katika tasnia ya modelling mwaka 1999 wakati alipoingia katika mashindano ya FACE OF AFRICA (FOA), ambapo alifanikiwa kuingia katika final, mashindano hayo yalifanyika Nice, France. Miriam katika jitihada zake aliweza kufanikiwa kupata mkataba wenye thamani ya $50,000 na kampuni ya Elite Moedlling Agency ya Marekani kwa kupitia kampuni ya Modelling ya South Afrika G3, kwa hiyo alitakiwa kwenda kwanza SA kwa ajili ya mzoezi na kupunguza unene ndipo asaini huo mkataba wa miaka 2, miriam alipokwenda SA alirudishwa kwa sababu ya uzito, na kukata kufuata ratiba ya chakula kama inavyotakiwa ukiwa kambini, ndipo aliporudi nyumbani 2001, pamoja na kurudishwa TZ ndoto zake za modelling azikuishia hapo, aliondoka kwenda china ambapo alifanya kazi huko kwa muda mrefu kabla ya kurejea tena Tanzania, lakini nilishawahi kumsikia akihojiwa katika kipindi cha NIRVANA kilichokuwa kikirushwa na EATV alikiri mwenyewe kuwa ule ulikuwa ni utoto lakini kwa sasa amebadilika sana kwani hata sisi watu wa nje tunamuona alivyobadilika amekuwa ni msichana mwenye heshima. Nafikiri China kumemfundisha mengi baada ya yeye kushinda taji la 2nd runner up ya miss earth international, kwa sasa amefungua duka lake la nguo liko Namanga msasani, na ni yeye ndio aliyemvisha miss Tanzania 2009 . Kwa kweli mimi huwa navutiwa sana na mavazi yake napenda anavyovaa

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. mie humpenda huyu miriam, kinachoniudhi kimoja tu..huyu alishiriki miss tz na kina Christine Alphonce mwaka 96 au 97 sasa kama kazaliwa 83 kama anavyodai je alishiriki akiwa na miaka 13?wajameni aache kujidogolisha huyu atakuwa na miaka 32 au 33...

  ReplyDelete
 2. ndio maana jide akiimba ile nyumba kuwa "natamani kuwa malaika" natamani tena kurudi nyuma!!! udogo huna raha yake bwana, thanks for comment hunayosema ni kweli maiss wawe wawazi na umri

  ReplyDelete
 3. that's true,ma-miss wanadanganya umri sanaaaaa,mifano mingi tunayo,lakin later if u use ur common sense utagundua ni waongooo..kuna miss mmoja aliwah kuwa miss tz(ana skendo nyingi tu) wakati huo walikuwa wanasema ana miaka 18,cha ajabu mdogo wake alifanya birthday party na kutaja umri wake..sasa ukifanya mahesabu ya umri wa mdogo wake,na wake alotaja that time,utagundua ni UONGO MTUPUUU.....haisaidddii kudanganya umri,makunyanzi yataonyesha tuuuuuuu

  ReplyDelete
 4. siku zote wanasema chezea mshahara na sio kazi, wanarinda ajira msiwalaum

  ReplyDelete