Sponsor

MASHOGA WALIOSHIBANA HUWA WANAVAA SARE MPAKA VIATU BABU!

4:07:00 AM
Hapa hakuna mtu kumgoga mwenzake akimpa kisogo, usoni unasema ooh shoga wangu wa kufa na kuzikana, je mnaweza kama salama na mwanaidi?? bibi kwenye shughuli wao huvaa sare tena siku wakiamua basi mpaka viatu, je nyie na ushoga wenu wa kukonyezana mnayaweza?? msione kila kitu mkadhani ni rahisi aah wapi? mimi binafsi nawafagilia sana bibie nawapenda saaaaaana! liendelezene libeneke wadau wangu wakubwa!


You Might Also Like

1 comments

  1. Huu ushoga mh!!!!!!!!!!!!!!!!wamependeza. Salama kaza buti mmependeza sana

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.