Sponsor

WATU WA MJINI NA SHUGHULI ZAO BWANA!!!!

3:30:00 AM

LEO NI KWA HIDAYA MCHOWELA!!! - KARIAKOOOO, MTAA WA MVITA


ANAMUOZA MTOTO WA NDG YAKE INAFANYIKA AL-HILAL MJINI NA BENDI YA KANYAGA KANYAGA NDIO WATAKUWEPO STAY TUNE PLEEESSSEE!!!!!, NA MIMI PIA NIMEALIKWA, JE UMESHAWAHI KUSIKIA "KANYAGA KANYAGA"?? MAANA "GUSA GUSA" TUNAWAJUA SOTEEEE!! STAY TUNE KUPATA HABARI NA PICHA ZAIDI.......!!!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.