JIDE AKITUWAKILISHA TANZANIA KATIKA DINNER ILIYOANDALIWA MO IBRAHIM PALE MLIMANI CITY OVER THE WEEKEND, JIDE UKO JUU!!!

Team nzima ya mchozi bend, nguo zao zilidizainiwa na FNAAZ Design
Jide na Gadna G, Habash na rais JK, namuona Gadna kabeba pochi ya mama!!!

Rais JK akimsogeza karibu msanii wetu Jide na Youssour Nd'our ili naye awe na jina la kimataifa
Jide na Angelique Kidjo Jide na msanii kutoka Sudan Emmanuel

Jide na Youssour Nd'our

Jide na Prof. Ibrahim Lipumba na Mfanyabiashara mkubwa Ali Mfuriki
Jide na Dk. Salim Ahmed Salim
Jide na Prof. Anna Tibaijuka

Blogu hii inakupa shavu la nguvu, Jide kila la heri, je ni msanii gani wa Tanzania ambaye yuko juu kama Jide?? mimi kwa ufahamu wangu jambo moja la msingi ni kuieshimu kazi yako kama watu wengine wanavyoeshimu kazi zao basi utapata mafanikio! jambo lingine linalofuraisha Jide kuielewa crowd ya watu angalia nguo aliyovaa ya kiafrika! na amedisign mbunifu wa hapa hapa TZ Fnaaz Designs, lazima tupeane kazi sisi wenyewe kwanza ili kukuza vipaji vilivyomo ndani ya nchi kuvionyesha duniani. Leo hii wangapi wamemuelewa Furha Sultan a.k.a FNAAZ Designs?? kupitia kwa Jide???, Pia jambo ambalo limetufurahisha ni kuona jinsi viongozi wetu sasa wanathamini kazi za wasanii kama picha zinavyojieleza


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment