WARUMBA CHEE WARUMBA HENYA LETE VITU!!!


Hapa simuongelei Nyota Waziri na bendi yake ya Kilimanjaro, hapa nawaongelea warumba kwa mimi binafsi nawapenda sana hawa wabibi wanapiga ngoma na kuimba sana hata chanzo cha nyota kusema warumba che! warumba henya! lete vitu kumetokana na ngoma za hawa kinabibi ni bei poa kuwakodi kwenye sherehe yoyote ili ukiwahitaji wasiliana na mimi katika blogu hii

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments: