JANA ILIKUWA SINGO IRENE NYUMBANI KWA SOMO YAKE BAIYA RUMERENZI PALIKUWA HAPATOSHI

Jamani tulikesha mpaka kweupeeeeeeeeeeeee
salama, Mwanaidi & Shida walitoka bomba sana na sare zao!
Mwanaidi & Shida kupendeza kwa kwenda mbele
Hasina simple & clear!

Joha Simba (designer) na wadogo zake, raha jipe mwenyewe........!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment