Sponsor

ASHA ROSE MTU WA WATU!

12:37:00 AM
Madame Amina Mtengeti one of the Datacom Africa Director, mdogo wake Asha Rose, We miss you so much!!!!
ASha Rose akiwa na dada zake kutoka kushota Shani,Farida Simba, na kulia ni Radhia Msuya


Asha Rose na marafiki wa familia


Asha Rose na kaka Slim Shamte


Waziri Simba na Sauda Simba part of family


Woooh! my sisters Afsa Mbaraka na Baiya kupendeza kwa kwenda mbele
Yeye huwa hajali kama wewe ni nani hupenda kuwa karibu na watu wote kwa muda mfupi ambao anapata nafasi ya kuwa Tanzania. Hizi ni baadhi ya picha akiwa pamoja na ndugu zake na watu wa karibu na familia yao! Hongera dada tunaringia mafanikio yako! Mwenyezi Mungu akuzudishie hekima na busara Amina


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.