TAFUTA KITU BLOGUNI

Loading...

CATHERINE's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                     ::Catherine
Event                     ::Kitchen Party
Makeup                 ::Triple D Saloon
Venue                    ::Camp David Hall –Tegeta
Décor                    ::
Colour                  ::Red, Yellow, Purple & hot pink
Cake                     ::
 MC                      ::Zimpopapopa
Ni kitchen party ya Catherine hapo Camp David Hall Tegeta, mambo yalikwivaje...!!! zama ndani uwaone kina mama wa Tegeta walivyochangamka

LATIFA & KARSTEN RECEPTION WEDDING!!!

Bride                     ::Latifa Kamus
Groom                  ::Karsten Hojlund
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Azura Beach
Cake                     ::
 Décor                  ::Harusinzuri
Caterer                 ::Talma Caterer
Color                    ::Light Blue,  Green Apple & Yellow
Makeup                ::Lavie Makeup Studio
Yap baada ya Islamic Aqdi ya Latifa & Karsten, leo ni wedding reception, chemistry ya Tanzanian & Denish, ni beach wedding reception hapo Azura beach, maarusi wampendeza, shughuli pambe tu, Latifa ni mdogo wake Halima Kamus, rafiki yake Latifa toka Sweden amkosha shosti kwa pound (£), na kumvisha MADINI....!!!

KAMBI YA REDDS MISS TANZANIA 2013 YAANZA!!

WAREMBO WA MISS TANZANIA 2014, WAKIWATAYARI KUINGIA KAMBINI KWA MAANDALIZI YA SHINDANO....!!!

UZINDUZI WA COKE STUDIO AFRIKA WAFANA DAR!!!

 Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola,  jana usiku ilizindua  msimu wa pili wa onyesho la runinga lijulikanalo kama  ‘Coke Studio Africa’ ambalo linatarajiwa konyeshwa kila Jumatatu na kituo cha Shirika la Utangazaji cha TBC.

JESSE & EMMY's RECEPTION WEDDING!!!!

Bride                     ::Emmiliana Chali
Groom                  ::Jesse Mwakyusa
Event                    ::Wedding Reception
Venue                   ::Kristo Mfalme Hall
Cake                     ::Ecakes
Décor                   ::Harusi Nzuri
Color                    ::Red, Royal blue & Yellow
Makeup                ::Glambox

Dressedby            ::Fashionista
Leo tuna harusi nzuri ya kushare na nanyi, Jesse & Emmy reception wedding, toka walipokutana na kujenga urafiki wenye matunda manzuri, leo wamekuwa kitu kimoja kwa mujibu wa sheria na dini, nice couple wamelandana, wamependeza sana...!!! I love bridesmaids wao jinsi walivyochanganya rangi za nguo.......!!!

QUEEN ELISABETH COCOA BUTTER HAND & BODY CREAM!!!

YES!!! YALE MAFUTA YA QUEEN ELISABETH COCO BUTTER BODY CREAM NA LOTION YAKE YAMEWASILI, PATA BIDHAA ORIGINAL, WATEJA WETU MLIOTOA ORDER ZENU MJE KUCHUKUA DUKANI
MAWASILIANO:: +255 655 426 100
WANAPATIKANA:: KINONDONI MANYANYA
DELIVERY FREE KWA WATEJA WA DAR  

GLADY's KITCHEN PARTY!!!!

Bride                     ::Glady Shogholo
Event                    ::Kitchen Party
Venue                   ::hellenic Club
Cake                     ::Grace’s Cake
Color                    ::Makenzi Colors
Makeup                ::Lulu Saloon - +255 713 295 364
Caterer                 ::MK Catering - +255 784 953 364
Mc                        ::Mc Kide - +255 765 902 402
Yes!! ni kitchen party ya Glady, mashallah black is beauty eeh!!!, palikuwa hapatoshi hapo Hellenic Club ni wale wadau wangu wa ukwee'e maagent wa bandari kama nawaona vile, kitenge cha makenzi chatamba, bi arusi mchangamfu na mwenye confidence, hapana chezeya shangazi ake Glady, Mariam muke ya bwana Masoud uko juu, theme ile ile kunywa,kula & kucheza ndio mwendo

BAZEE BATIK FREE DRESS!!!

HAYA HAYA NI YALE MAMBO YETU YA KIAFRIKA, BAZEE BATIK ZA UKWEE'E ZINAPATIKANA  FREE SIZE MAUA TOFAUTI KUONA ZAIDI ZAMA NDANI
MAWASILIANO:: +255 655 426 100
WANAPATIKANA::KINONDONI MANYANYA
DELIVERY FREE KWA WATEJA WA DAR  
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...